Prof. Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenye kiti wa chama cha CUF.
Lipumba ametangaza uamzi huo leo kwenye hotel ya Peacock,Dar es sa
salaam, amesema hataki kuendelea kushiriki katika mambo yanayoendelea
kwasababu kuna vitu vingi vimekiukwa. Hatua hiyo imekuja baada ya
mkutano wake na waandishi wa habari kuhairishwa ghafla siku ya jana,
Mbali na kujivua uwenyekiti Lipumba amesema ataendelea kuwa mwanachama
wa CUF.
Comments