Usain Bolt alishinda medali ya dhahabu baada ya kushinda mbio za mita
200 katika Mashindano ya Dunia yanayoendelea jijini Beijing nchini
China.
Mwanariadha huyo, 29 , kutoka Jamaica alimshinda mpinzani wake Mmarekani Justin Gutlin ambaye aliambulia nafasi ya pili.
Wakati akiendelea kushangilia ushindi wake Bolt alikumbwa na mpiga picha na kisha kudondoka chini.
Tazama kisanga hiko
Comments