Rapper kutoka Young Money Nick Minaj na kampuni iliyotengeneza game
la Kim kardashian, Glu Mobile Inc wanashirikiana kutengeneza game jipya
la Nick Minaj ambalo litatoka mwaka 2016.
Baada ya mafanikio makubwa iliyopata kutokana na Game la Kim
kardashian ‘Kim Kardashian: Hollywood’ ambalo mpaka sasa ni game
iliyonunuliwa zaidi kupitia duka la mtandaoni la Apple Marekani Kampuni
hiyo imeamua kufanya kazi na Nick Minaj pia
Comments