MSANII wa filamu nchini, Lufingo Exaud amesema kuwa amekuwa na ubunifu binafsi kuhakikisha anaendelea kubaki vizuri kwenye ufanisi wa kazi yake hiyo.
Hatua hiyo imekuja kutokaka na soko la filamu kushuka zaidi na kuwafanya wasanii wawe katika hali mbaya.
Lufingo amesema kutokana na changamoto hiyo, sasa ameanza kujipanga ili kuhakikisha analishika soko hilo.
Msanii huyo kwa sasa ameshatoa filamu tatu zilizoingia sokoni na amekuwa na mikakakti
ya kutaka kufikia mafanikio mengine, baada ya kuwa ameuza filamu hizo katika makampuni makubwa
"Niliona nianze kutafuta mafanikio mengine baada ya kuona uuzaji wa filamu zangu zilizoingia sokoni, ambapo kwa sasa nina miliki kampuni yangu iitwayo Pamoja Films Production ambapo mkasa sasa nimeweza kuingiza kazi zangu mwenyewe sokoni.
"Natarajia kufikia malengo makubwa zaidi ya kuingiza filamu zangu mwenyewe na sasa uvumilivu wa changamoto ninazopitia zimenifanya kuelewa zaidi kazi katika kutafuta masoko ya uuzaji wa kazi,"alisema.

Comments