Ndugu zangu,
Matatizo mengi ya mwanadamu ni ya kujitakia. Duniani hapa kuyatafuta matatizo na kuyapata ni kazi rahisi sana.
Matatizo mengi ya mwanadamu ni ya kujitakia. Duniani hapa kuyatafuta matatizo na kuyapata ni kazi rahisi sana.
Lakini,
mwanadamu matatizo yakishakufika, basi, kuyapatia majawabu ni mtihani
mgumu sana. Hakuna njia za mkato kwa kupata majawabu ya matatizo.
Lililo la
busara na hekima kwa mwanadamu, ni kujitahidi sana kusoma alama za
nyakati. Kuzibaini ishara za matatizo yanayokuja, kisha, kujitahidi
kuyaepuka kabla hayajakufikia.
Na kama yatakufika, basi iwe ni kwa bahati mbaya.
Na liwe nalo Neno La Leo.
Maggid.
Goodmorning.
Inatoka kwa Maggid Mjengwa
Na kama yatakufika, basi iwe ni kwa bahati mbaya.
Na liwe nalo Neno La Leo.
Maggid.
Goodmorning.
Inatoka kwa Maggid Mjengwa
Comments