Dr Dre anasema mapato ya album mpya kutoka mitandaoni yatasaidi kujenga taasisi ya sanaa kwaajili ya watoto wa Campton.
Dr Dre amesema amewasiliana na meya ya Campron kuhusu msaada huo na wamekubaliana ni muda muafaka wakufanya shughuli hio.
“Nimekuwa nikitaka kufanya kitu special
kwaajili ya mitaa nililiyotka na nilivyosikia kuhusu taasisiya sanaa
itakayosaidia watoto Campton nikaona ni sawa ‘”
Album inaitwa Compton: A Soundtrack by Dr. Dre, ni soundtrack ya
filamu ya maisha ya N.W.A >Straight Outta Compton na wasanii
waliohusika ni Eminem, Ice Cube, Kendrick Lamar, Snoop Dogg, The Game.
Comments