Muda mfupi ujao ungana na mimi ili uweze kushuhudia moja kwa moja
mtanange kati ya Liverpool dhidi ya Stoke City, mchezo huo utafanyika
kwenye uwanja wa Britannia.
Haya ni majina ya wachezaji ambao wataunda vikosi hivyo.
Haya ni majina ya wachezaji ambao wataunda vikosi hivyo.
Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Lovren, Gomez, Henderson, Milner, Coutinho, Lallana, Ibe, Benteke.
Subs: Bogdan, Moreno, Toure, Firmino, Can, Origi, Ings.
Stoke City: Butland; Johnson, Cameron, Muniesa, Pieters; Whelan (c), Adam; Walters, van Ginkel, Afellay; Diouf.
Subs: Given, Ireland, Odemwingie, Joselu, Sidwell, Crouch, Wollscheid.
Comments