Mgombea
wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia wakazi wa kijiji cha Kikondo kata ya Ilungu Mbeya vijijini
akiwa njiani kuelekea mkoa wa Njombe .
Mgombea
wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia wakazi wa kijiji cha Ujuni Makete mkoani Njombe .
Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania ( SHIVYAWATA)
Amon Anastaz Mpanju akisalimia wakazi wa Iwawa kwenye mkutano wa
Kampeni za CCM uliofanyika stendi ya Mabehewani Makete.
Mgombea
wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wakazi wa Ikonda kata ya Tandala ambapo aliahidi kumaliza
matatizo ya msingi ya wananchi hao ikiwa kujengwa kwa barabara ya lami,
kujenga visima vya maji, elimu bure mpaka kidato cha nne.
Mgombea
wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia wakazi wa Wanging'ombe mkoani Njombe kwenye mkutano wa
Kampeni za CCM ambapo leo ameingia mkoa wa tatu.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula (kushoto) akiwa na Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Njombe Ndugu Deo Sanga na Waziri wa Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Wiliam Lukuvi
wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John
Pombe Magufuli kwenye mkutano wake katika wilaya ya Wanging'ombe.
Mgombea
wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
akimkabidhi mgombea Ubunge wa Jimbo la Wanging'ombe Eng.Gerson Lwenge
ilani ya uchaguzi ya CCM
Mhe. Pindi Chana akiwasalimu wakazi wa Wanging'ombe
Mgombea
wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
akiagana na wagombea wa nafasi ya udiwani wa jimbo la Wanging'ombe
mkoani Njombe.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa wanging'ombe.
Mgombea
wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
(kulia) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe.Philip
Mangula
.Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Mhe. Wiliam Lukuvi akihutubia wakazi wa njombe mjini
kwenye uwanaja wa Saba Saba.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe. Philip Mangula akihutubia wakazi wa Njombe
mjini kwenye mkutano wa kumnadi mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe
Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa
mji wa Njombe kwenye uwanja wa sabasaba ambapo aliwahakikishia serikali
yake itakuwa ya wachapa kazina kuelta maendeleo kwa wananchi.

Waziri
wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Njombe
kwenye uwanja wa saba saba na kuwataka kuwa makini na viongozi wa
kisiasa wanao walaghai wananchi.
Comments