Super Star kutoka bongo movie Wema sepetu ameamua kujibu tuhuma za
Nuh Mziwanda kuwa amemuharibia penzi lake na shilole kwa kuamua
kuvujisha Audio inayosikika akimtongoza, kupitia mtandao wa Instagram, Wema amejibu hivi
“Naitwa Wema Sepetu na ntabaki kuwa Wema Sepetu… Iam Number One… Sina
muda wa kubishana na watoto…Nina muda wa kufanya kazi na kwa sasa jicho
langu limeelekea kwa Wanyaturu wangu Singida na kwenye siasa yangu
pamoja na kazi zangu za maana bila kusahau entertainment niliokuwa
ninayo from 2006 … Kumbe wakati mi nimelala nyie mnaandika Instagram…
Ntapata dhambi kugombana na watoto wadogo-ambao nimewazidi sio pesa tu
hadi dhambi pia nimewazidi…. Mstafute kick kupitia jina la Wema jamani…
Jitume, amka, usibweteke, fanya kazi…. Umarioo mwisho Chalinze maana Dar
wote tuna Hustle… Ama nene….#WemaAbrahamSepetu#NumberOne#KibokoYao…
Nimemaliza… Good morning everyone….!!”
Comments