binafsi kuhakikisha ana endelea kubaki vizuri kwenye ufanisi wa kazi yake hiyo.
Pamoja Films Production ambayo ni kampuni ya Lufingo , tayari mwezi huu inaingiza ujio wa filam nne ambapo moja ya majina ya filamu hizo ni ujio uitwao'Tanga Raha',iliyochezwa na King Majuto na yeye
mwenyewe huku wasanii wengine pia wakihusika.
Msanii huyu pia amezitaja filamu zingine kuwa ni 'Wazawa' ambapo katika ujio huo
mhusika mkuu ni Happy Nyirenda inayozungumzia maisha ya vijana huku ujio mwingine uiki iitwa 'Kanya Boya' ambapo washiriki humo ni Mzee Majanga,Kid Rasta Tinn White na inaelezea viajna ambao awana kazi na kujihusisha na mambo ya mapenzi.
Lufingo ameitaja fialmu nyingine kuwa ni 'Kijiwe' ambapo nyota walionesha ubunifu mkubwa
ni pamoja na Kid Rasta pamoja na Mzee Majanga.

Lufingo akiwa amesimama na King Majuto
Comments