Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa kijiji cha Kikondo kata ya Ilungu Mbeya vijijini akiwa njiani kuelekea mkoa wa Njombe . Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa kijiji cha Ujuni Makete mkoani Njombe . Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania ( SHIVYAWATA) Amon Anastaz Mpanju akisalimia wakazi wa Iwawa kwenye mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika stendi ya Mabehewani Makete. Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ikonda kata ya Tandala ambapo aliahidi kumaliza matatizo ya msingi ya wananchi hao ikiwa kujengwa kwa barabara ya lami, kujenga visima vya maji, elimu bure mpaka kidato cha nne. Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Wanging'ombe mkoani Njombe kwenye mkutan...