Kutoka kushoto ni Ray muigizaji wa Filamu maarufu na katikati ni
Seles Mapunda mdau , kulia ni Kanumba muigizaji maarufu wa filamu
nchini hapa ni maeneo ya Leadars Dar es Salaam.
Kila siku ya jumamosi mzee usipime viwanja hivyi ua ni mitoko ya
wasanii wa filamu ukutana kujadili kulabata na mambo kemu kem ni sehemu ya kuonekana kwao je wewe ambaye ufiki eneo hilo sijui tutakufahamu aje? changamka hapa ni bata kwa kwenda mbele.
Comments