Baadhi ya wakazi wa eneo hilo japokuwa Ben Kinyaiya
anapata wateja wengi , lakini moja ya majilani zake na watu wanao mjua , wanamueleza kuwa ni kijana safi ana maneno maneno na majirani hivyo hatua ya kuanzishwa kwa Pub hiyo kunaungwa mkono na vijana wa mjini pamoja na majirani .
Kwani muda wa jioni ParKing za magari hua ni soo na ufanya msongamano kutokana na Pub hiyo kuwepo kwa hivi sasa .
"Hatuwezi kumwambia kitu ni jirani yetu mpendwa tena amekulia maeneo haya ni mtoto wetukwa ujumla ," hayo yamesemwa na mama mmoja leo ambaye ni jirani kabisa
wa Ben. Ben Kinyaiya awali alikuwa mtangazaji wa East Afrika Redio, kitu ambachokimemjengea umaarufumkubwa , Ebwana Ben Big Up.
Comments