Ricardo Carvalho: Beki anayenyemelewa na Real Madrid
Ricardo Carvalho, ni jina kubwa katika soka, linalotikisa barani Ulaya katika ligi mbalimbali ikiwemo Klabu Bingwa Ulaya.
Ricardo Carvalho, ni jina kubwa katika soka, linalotikisa barani Ulaya katika ligi mbalimbali ikiwemo Klabu Bingwa Ulaya.
Beki huyo mzaliwa wa Ureno, hivi sasa ni kizingiti kikubwa cha Chelsea katika safu ya ulinzi na hata kubeba sifa nyingi kutoka kwa mashabiki wa mpira wa miguu duniani.
Lakini, hivi sasa akili ya miamba ya soka nchini Hispania
Comments