Eneo hili ni Leo Karia Koo December 27, 2009 Pichani nileo maeneoya Karia Koo hali ya pilika pilika imebaki kuwa tulivu .Hata baadhi yaMgambo wa Jijini hawajaonekanana hata machinga nao walikuwa nadra sana katika mitaa hiyo . Hii picha imepigwa leosaa 8:16 mchana. Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
Comments