Pambano Kali la mastaa wa ngumi Duniani , wakiwa wamewai kubeba mikanda ya dunia
Rashid Matumla (Snake Boy) na Joseph Marwa (Smart Boy).
Kesho kwenye uwanja wa Uhuru Stadiam watapandakuzintwanga .
Pichani ni ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo
leo mchana , walipo kuwa wakizungumza na waandishi wa habari .
Comments