SAID Fella ama maarufu kwa jina la 'mubwa Fella'
leo hii alianza kusambaza wimbo wake mpya kwenye TV mbali mbali nchini.
'Tunapambana' ndio jina la wimbo alioanza kuusambaza kwenye TV leo mchana .
Akizungumza na blog hii leo , mchana kwenye ofisi za Clouds FM , Fella alisema kuwa tayari albam imeingia sokoni takribani wiki mbili sasa.
uku wimbo uliobeba albamu ukiwa unaitwa jina hilo la 'Tunapambana' albamu ikiwa ina ujumla wa nyimbo kumi na mbili.
Alitaja majina ya nyimbo nyingine kuwa ni '20091',
'Bila kampani' aliomshirikisha Bashir , 'Nduguzetu' ,
akiwa amemshirikisha Tundamani.
'Mwanalisa' akiwa amemhirikisha Allya KIba ,Mh Temba na Chegge. Pichani ni leo saa saba , katika sehemu ya mapokezi Clouds FM akionesha picha ya Mwalimu Nyerere.
Comments