Katika nyakati hizo za sherehe ilitamkwa na mhariri wa Mkuu wa magazeti ya Spoti Starehe na Dar Leo Masud Sanani alisema kuwa gazeti hilo limepita katika mambo mengi mpaka kufikia hapo lilipo sasa.
Kwani hata matangazo yalilipwa kwa (Policy),iliyokuwepo kwa wakati huo.
Ambapo (Policy) hiyo kwa sasa hipo tofauti sana
na wakati ule kwa sasa matangazo yanachukua
kurasa zaidi lakini Sera ya wakati ule ilikuwa haiko kihivyo. Na ikatamkwa kuwa gazeti hilo la
Majira ni moja ya gazeti bisafsi lisilo la serikali liliopitia changamoto nyingi .
Comments