Waziri Mkuu wa zamani Mzee Rashid Mfaume Kawawa (83),
Rais Jakaya KIkwete akiongozana na ndugu na jamaa na marafiki wa marehemu , alifika na kumkuta Kawawa akiwa chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitaliya Tifa Muhimbili (icu),akisaidiwa kupumua kwa mashine.
Ikiwa zimebaki saa chache kumalizika kwa mwaka 2009 ,Serikali ya Tanzania imepata pigo ya kuondokewa Waziri Mkuu huyo wa zamani.Mwaka 1977 alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na kufuatiwa na Sokoine na baadaye alikuwa katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi.
Comments