SAMWEL Mbwana ama Braton ambaye ni mmiliki wa studio ya Backyards Records iliyopo eneo la Magomeni
jijini Dar es Salaam wiki hii ameingiza sokoni ala za muziki wa Chrismas.
Instrumental alizoingiza zokoni ni kama zifuatazo ,
Wachungaji , Mjini Mwake ,Njooni Wachungaji ,
Malaika Njooni kifupini kwamba albamu hiyo ambayo alisema ni zawadi ya Chrismas kwa jamii .
Kwa sasa baa ya kuingiza sokoni anajiandaa na mapumziko mafupi ya sikukuu hiyo Ijayo.
Pichani akiwa na mwanaye Winfrida.
Comments