Skip to main content

SEEMU YA MAZIKO YA KIM & THE BOYZ LEO MAKABURINI KISUTU



DJ BON Luv akiwa kwenye msibani leo kwenye makaburi yaKisutu , Marehemu Kim enzi za uhai wake aliwahi kuwa Dj katika miaka ya 198o , pia aliwahi kuwa Promota wa muziki ikiwemo michuano ya Yo Rap Bonanza , marehemu Kim ameacha mke na watoto watatu.

Comments