Skip to main content

Hawa ni King Kif Nigga (Mastar Kif (Pichani Kushoto) na kulia ni Dr KB



Hapa mwanablog zilipigwa stori kichizi , kwani
Dr KB na Kif walikuwa hawajakutana siku nyingiiii.

Kif alitoka muda murefu Mwanza , aliondoka
uku mie mwana Blog hii akiniachia njia za kupenya katika mamboya kupale nilitusua matamasha
yote uku yeye akiwa Tayari anabishana Dar .

Hebwana nawakumbuka B.W.V katika tamasha lao la Miss Celtel Geita nikiwa kidato cha nne niliambatana nao jukwaani na nilipata nafasi ya kumilikijukwaa kwa dakika kadhaa niki form hiyo
uku mkuu wa Wilaya Geita na wageni wengine ukumbini wakitaamaki nika kamua singo yangu iliyokuwa ikizungumziamaisha ya baadaye nilipo rudi tu shule nikawa staa wa shule fullu kujikombea ....... niliyemtaka samba mba na zawadi kupewa mara kwa mara nabintimmoja wa kiarabu alikuwa anamiliki duka ebwana usitaa ua ni mzuri, siku hiyo B.W.V muzika wao ulitetemesha Mkuu wa Wilaya kwani singo ilizungumzia
ubovu wa Barabara ambapo uliombwa kurudiwa mara 4 hiyo ndio siku kesho yake ulitambulishwa kituo cha redio RFA mchana shoo nyingi za B.W.V walikuwa wakiambatana na mtangazaji Young Milionaire na alikuwa akiwapromoti sana jukwaani kiasicha mashabiki kung'aka kuwapenda vijana hao.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them ...

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

LEO NI BUNGE LA BAJETI

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo. -WANANCHI WATAKA IPUNGUZE UKALI WA MAISHA MACHO na masikio ya mamilioni ya Watanzania na wadau wa nje, leo yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa.Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta. Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari, wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha. Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika mtazamo wa kuimarisha mshimakano na umoja wa nchi hizo. Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu, baj...