
Madj maarufu wa kwenye disko kabambe
linalo vuma kwa kauli mbiu ya Groove Back ,
Jumamosi hii disko hilo limeahidi kutoa zawadi
kwa mshindi atakae ibuka katika mambo ya
Queen Of Dance hall.
Katika ukumbi mkaliwa Zhong hua , uliopo eneo la
Victoria jijini Dar es Salaaa.
Akizungumza na blog hii msemaji wa Disko hilo
Dj Peter Moe amesema kuwa atakae ibuka mshindi
katika shindano hilo atapata shilingi laki moja papo hapo.
Kiingilio katika Disko hilo la kila jumamosi ni shilingi
5,OOO/=
Heee tukutane basi kiwanja hicho 5/12 /2009.
Comments