
Mwana dada mcheshi Clara ni mcheshi mpaka basiii, ni makinikatikasehemuhiyo ya mapokezi
katika redio maarufu nchini Clouds FM.
Pichani ni leo mchana akiwa makinina kazi yake
uhudumia fleshi pasipo matatizo na kuonesha
hali ya kujali kazi .
Mwendo mdundo kaza buti wewe ni kioocha
jamii.
Comments