Mh .Azzan Zungu Akiteta na Watoto Waishio Kwenye Mazingira Magumu Leo mchanamaeneoya Posta Dar es Slaam
HOTUBA YA MWENYEKITI KWA MGENI RASMI MH.AZZAN ZUNGU-HOTUBA HII NI MAONI YA WATOTO WANAOISHI KTK MAZINGIRA MAGUMU(MITAANI)DSM,TZ
MH MGENI RASMI AZZAN ZUNGU TUNAKUKARIBISHA SANA NA TUMEFURAHI KUJUMUIKA NASI PAMOJA SIKU HII YA LEO.SIKU AMBAYO ITAKUWA NI HITORIA KWETU KWA SABABU TUNAAMINI KILIO CHETU KITASIKIKA MHESHIMIWA MGENI RASMI NI VYEMA UKAJUA KWAMBA WATOTO WANAOISHI KTK MAZINGIRA MAGUMU NI WATOTO KAMA WATOTO WENGINE HIVYO WANAHITAJI KUPATIWA HAKI ZOTE MUHIMU KAMA WATOTO WENGINE UNAVYOTUONA TUMEKUWA TUKIPATA SHIDA NYINGI SANA TUKIWA MITAANI BILA YA KUPATIWA UFUMBUZI WA KINA,SHIDA HIZO NI PAMOJA NA KULALA NJE KULA KWA TAABU KUPATA ELIMU KWA TAABU NA HATA MAVAZI NI YA SHIDA KUTOKANA NA HALI HALISI YA MAISHA YETU.TUMEKUWA TUKIHANGAIKA HUKU NA KULE KUTAFUTA UFUMBUZI WA MATATIZO YETU BILA YA MAFANIKIO YOYOTE,KAMA UNAVYOJUA MHESHIMIWA KITENDO CHA MTOTO KULALA NJE KAMA TUNAVYOONEKANA TUKILALA VIBARAZANI VINAATHIRI SANA KISAIKOLOJIA BADO HUKU VITUO VILIVOPO NA TAASISI HUSIKA MBALIMBALI BILA YA KUSAHAU WIZARA HUSIKA .HATUONI MSAADA WOWOTE KUHUSU HILO,WATOTO WENGI WANAPOTEZA MAISHA YAO KWA MAGONJWA MBALIMBALI KWA KUKOSA MSAADA MUHIMU.TUNAJIULIZA SANA KWAMBA NANI WAKUTUOKOA HAPA TULIPO?MHESHIMIWA MGENI RASMI HATA SUALA LA ELIMU KWETU LIMEKUWA NDOTO,HAKUNA UTARATIBU MAALUM UNAOWEZA KUTUFANYA TUPATE ELIMU.TUKIWA KAMA WATOTO WATAIFA HILI LENYE RASILI MALI NYINGI.NI MUHIMU TUKASHIKAMANA NA KUSAIDIANA SISI KWANZA ILI IWE MFANO KWA MATAIFA MBALIMBALI TUKIWA. MITAANI KUNA SHIDA TUNAZOPATA IKIWEMO KUKAMATWA NA BAADHI YA POLISI TUKIWA TUMELALA KWENYE MITAA MBALIMBALI PASIPO MAKOSA NA KUPATIWA KESI MBALIMBALI NA HATIMA YAKE KUPELEKWA JELA.WATOTO WENGI PIA HUKAMATWA NA ASKARI WA JIJI WANAPOKUA WANATAFUTA RIZIKI KWA NJIA YA KUOSHA MAGARI,SASA WAZAZI WETU SISI TWENDE WAPI TUPATE MSAADA KWA FAIDA YA TAIFA LETU KIUJUMLA?MHESHIMIWA KUNA MAMBO MENGI SANA YA KUONGEA KUHUSU MAISHA YETU,LAKINI NI VEMA TUKAPATIWA SEHEMU MAALUM KWA AJILI YA KUISHI.,PAMOJA NA ELIMU KWA UJUMLA.HIVYO BASI NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII YA PEKEE NIKIWA KAMA MWENYEKITI WA SISI WATOTO TUNAOISHI KATIKA MAISHA MAGUMU KUMUOMBA MTU AMBAYE AWE BABA YETU MLEZI KWA AJILI YA KUPATA NJIA YA KUTOKEA KTK HALI NGUMU HII YA KIMAISHA.NI IMANI YETU YA KUWA TUTAPOPATA BABA MLEZI ATAWEZA KUTULEA KTK MAISHA YETU.NAPENDA KUMUOMBA MWENYEKITI MTENDAJI WA MAKAMPUNI YA IPP, MHESHIMIWA REGINALD MENGI KUWA BABAYETU MLEZI.BABA YETU MENGI TUNAKUOMBA UPOKEE JUKUMU HILI NASI TUMEKUPENDEKEZA KUTOKANA NA KUKUONA NI MTU MWENYE UPENDO KTK TAIFA HILI LETU, NI MATUMAINI YETU OMBI LETU LITAPOKELEWA KWA MIKONO MIWILI NASI TUNAAHIDI USHIRIKIANO WA DHATI IWAPO TUTAHITAJIKA KTK KUFANIKISHA MAENDELEO YETU.MHESHIMIWA MGENI RASMI NINAPENDA KUTOA SHUKURANI ZETU ZA DHATI KWA NDUGU YETU AMBAYE AKISAIDIA KUTUPA MAWAZO YA UFUMBUZI WA MATATIZO YETU KWA MUDA MREFU NAYE NI NDUGU. ZAHIR BABA AMBAYE NI MFANYABIASHARA.
KWA HAYO BASI NAJUA UNAMAJUKUMU MENGINE NA PIA ASANTE KWA KUPOKEA WITO WETU NA KUTUTENGEA MDA MAALUM KAMA HUU BILA YA KUTUDHARAU..ASANTE SANA SANA NA MUNGU AKUBARIKI KWA KILA LA HERI NAWE….AMIN
MIMI HAPA NI OMARI RAJABU NIKIWA KAMA MWENYEKITI WA SISI WATOTO TUNAOISHI KTK MAZINGIRA MAGUMU.

Comments