Lev Boy ambaye ni mcheza shoo wa bendi ya FM Academia
ni gumzo sana katika bendi hiyo kwani ua anatikisa jukwaa kwa kwenda mbele utafikili si Mtanzania Vileeeeee!!
Hanapanda kifani kila uchwao anakua juu vipi si unajua motowake huyokijana wa Kitanzania ni muhimili wa uchezaji shoo katika FM Academia "Wazee wa Ngwasuma'.
Comments