Huyu ni Kanumba msanii mahiri kwenye anga za uigizaji nchini sanaa yake inapanda chati hadi siku .
Kwa sasa wasanii hawa maisha yao kwa levo za hapa nchini
ni mazuri wanasukuma mikoko , sanaa ya filamu imekuwa
ikichapa mwendo ile mbaya asikwambie mtu.
Kwa sasa wasanii hawa maisha yao kwa levo za hapa nchini
ni mazuri wanasukuma mikoko , sanaa ya filamu imekuwa
ikichapa mwendo ile mbaya asikwambie mtu.
Japokuwa wasanii kama Dudu Baya walionesha kupiga hatua kubwa siku za mwanzo mwa muziki wa Bongofleva
kama kupanga nyumba nzima na si kukaa getto .
Ambapo Dudu ni mfano mzuri wa kuigwa kwa muda wote alionekana kuwa na maisha katika gemu na akang'ang'a nia kupanga kwa kuishi kiihivyo tofauti na wasanii wanao shine pasipo kupanga hata chumba kimoja , juudi hizo
kwa wasanii wa filamu zimefunikwa kwa mfuniko mpana wasanii wa filamu baadhi yao wametoka na wanamiliki mikoko ya maana gemu la filamu liko juu babake kwa sasa na si nchini hapa tu hata mbele mastaa wa filamu wanawagalagaza vibaya hoi wasanii wa muziki pekee kimaisha.
Comments