TINO akijiachia kwa mbwembwe zote za maraha
Mzalendo Pub uku Dj Mackay akiporomosha muziki.
Hapatoshi hii ni sehemu gumuzo sana Dar es Salaa hasa mida ya nite.
Msemo wa King Blez wa FM akademia nimsemo wake huu,"Dar es Salaam usiku ua inakuwa pana sana " kwa watu wa mitoko tofauti, na mtu aliye lala Usiku ni mwingine mwisho wa wiki.
Comments