Hapa ni Mbale mashariki mwa Uganda , akichora muchoro huo , mchoraji maarufu Marco Tibasma ambaye kwa sasa anaumaarufu wa kimataifa akichora mchoro katika programu ya kuzuia adhabu zinazo umiza watoto Mashuleni.
Jamaa katika hatua hii ya uchoraji wake , uchora michoro inayoibua masuala ya kijamii kama unavyomuona (Pichani).
Comments