KUKUBWA Fella amesema atafanya maonesho
yake Desemba 5 mwaka huu Zanzibar Jimkana na
Desemba 6 atafanya onesho la pili Kiwengwa Obama
Beach.
Maonesho yake yote hayo ni kwaajiliya kuitangaza
albamu yake mpya.
Pichani leo mchana aliokuwa katika michongo ya
kuipa promo albamu yake hiyo , hapa niClouds FM
eneo la nje kwenye maegesho ya magari.
Comments