KANUMBA ambaye ni msanii maarufu kwenye sanaa ya uigizaji akionekana kuserebuka kiaina , uku muziki mkubwa
ukisikika kutoka ndani ya gari la Ray .
Wasanii mbali mbali uonekana kujiachia siku ya jumamosi katika
eneo hilo maarufu jijiji Dar es Salaam.
Hapo mkuu ilikuwa shughuli kubwa siunajua tena kiwanja kinapo kuwa na mastaa flani flani.

Comments