Picha ya chini ni Prodyuza Jay toka mawingu
Studio akioneshana sms na Mwanamke wa Kizungu usiku wa Jana
kwenye Pub ya Mzalendo
iliyopo kwenye . mjengo wa Millenium Tower maeneoya kijitonyama .Picha ya juu msanii nguli Mad Ice akichonga na Dj Venture katika ukumbi huo huo usiku ambapo sitori zinaendana na makamuziya kula bata.
Comments