Kwa raha zao , ebwana ndio ni muda wa usiku kwenye mjengo wa Millenium Tower Kijitonyama Dar es Salaam , wapo Mzalendo Pub sehemu linapopolomoshwa disko kila siku ya jumamosi , disko lililopewa kauli mbiu bomba iitwayo Fleva Nite Mkali Dj Mackay na Oscar pia mikono yao usugua kwenye moja na 2 .
Hapo pichani ni Mwana Dada Sabah ambaye ni kifaa haswa cha Bon Luv.
Comments