Ruud van Nistelrooy, mshambuliaji anayenyemelewa Chelsea
Liverpool, Arsenal na Chelsea, timu zote kubwa zinazoshiriki Ligi Kuu ya England, ziko katika harakati ya kusaka saini ya mshambuliajiRuud van Nistelrooy wa Real Madrid ya Hispania.
Mshambuliaji huyo aliwahi kutamba na Manchetser United kabla ya kuhamia Real Madrid.
Comments