Ilikuwa usiku wa manane bwana,blog hii ikiwa mzigoni ,
basi Dj huyu na kimwana walionekana kutelemka ngazi za mjengo wa Millenium Tower .
Ni baada ya demu kuwa amepombeka gafla waliona mwanga wa kamera , Dj huyo
alilalamika kuhusu mwanga wa kamera , lakini Venture
hawa vimwana mazee wewe ua unawapa nini!!! MBONA HIVYOOOOOOOO.
Comments