HAPA ni Zhonghua Garden Mwisho wa wiki iliyomalizka ,baadhi ya madj maarufu wa Dar es Salaam.
Wakionesha nyuso zeshe furaha si unajua tena mitoko na
kula bata , wa kwanza kushoto ni Dj Juice wa Times FM,
ambayeuendesha kipindi cha Bongo Dot .
Home na wapili ni Dj Tass yeye upagawisha katika kipindi cha Daladala Beat kila siku ya j tatu hadi Ijumaa kuanzia saa 8:00 mchana hadi 10:00 jioni.
Na kipindi cha
Kwetu Fleva
nyakati za usiku ua ni soooo babake.
Comments