KIGWANGALLA AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WANAOPINGA VITENDO VYA UHALIFU DHIDI WANYAMAPORI NA MISITU NCHINI
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akifungua warsha ya siku
moja ya wadau wa kitaifa wa kupinga vitendo vya uhalifu dhidi ya
wanyamapori na misitu nchini jijini Dodoma leo Juni 26, 2018. Warsha
hiyo imelenga kujadili na kuainisha mahitaji na vipaombele vya sekta ya
mahakama na mashtaka ya kudhibiti uhalifu huo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, Kaimu Katibu Mkuu
Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Iddi Mfunda (wa pili kushoto),
Mkurugenzi wa Mashtaka, Biswalo Mganga (wa pili kulia) na Mkuu wa ofisi
wa Shirika la Ufuatiliaji wa Wanyamapori (TRAFFIC), Julie Thomson
(kulia) wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa warsha ya siku moja ya wadau
wanaopinga vitendo vya uhalifu dhidi ya wanyamapori na misitu nchini
jijini Dodoma leo Juni 26, 2018.
Baadhi ya wadau wa kitaifa walioshiriki hafla hiyo wakiimba wimbo wa Taifa.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akifungua warsha ya siku
moja ya wadau wa kitaifa wa kupinga vitendo vya uhalifu dhidi ya
wanyamapori na misitu nchini jijini Dodoma leo Juni 26, 2018. Warsha
hiyo imelenga kujadili na kuainisha mahitaji na vipaombele vya sekta ya
mahakama na mashtaka ya kudhibiti uhalifu huo.
Picha
ya pamoja ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na
wadau wa kitaifa wa kupinga vitendo vya uhalifu dhidi ya wanyamapori na
misitu nchini. (Picha na Hamza Temba-Wizara ya Maliasili na Utalii)
Comments