Skip to main content

Jamii yahimizwa kuyatunza na kuyahifadhi mazingira

VIONGOZI  wa dini nchini wameihimiza jamii kujenga utamaduni wa kuyatunza na kuyahifadhi mazingira kwa ajili ya ustawi wa vizazi vilivyopo na vijavyo.

Aidha, wameiomba Serikali kusisitisha matumizi ya mifuko ya plastic ili kupunguza uharibifu wa mazingira unaosababishwa na mifuko hiyo.

Hayo yamesemwa jana jijini Dar es Salaam kwa wakati tofauti na viongozi wa madhehebu wa dini wakati wa Mjadala wa Kitaifa kuhusu imani ya Dini na katika kuhifadhi mazingira katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira itakayofikia kilele Juni 5 mwaka huu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Akizungumza katika mjadala Padri wa Kanisa Katoliki, Raymond Saba amesema jamii inatakiwa kuvitengea haki vizazi vilivyopo na vijavyo kwa kuyatunza na kuyahifadhi mazingira na kwenda kinyume kumkosea Mungu muumba wa mazingira.

“ Tuvitendee haki vizazi hapa duniani hata Mwenyezi Mungu katika maandiko yake anaitaka jamii kuyatunza na kuyahifadhi mazingira hivyo kuyaharibu ni kumkosea,” alisema.

Amebainisha kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kutumia miundombinu ya dini kuihimiza jamii kwa kuipa ujumbe wa utunzaji na uhifadhi mazingira.

Kwa upande wake, Askofu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Alex Malasusa ameikumbushia Serikali kuhimiza wananchi kuacha matumizi ya mifuko hiyo  kwani inachangia uharibifu wa udongo.

Amesisitiza kuwa kanisa hilo linashiriki kampeni ya utunzaji mazingira kwa kupanda miti zaidi ya 3000 kwenye vijiji na wilaya iliyopandwa na vijana katika wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.

Naye Mjumbe wa Baraza la Ulamaa-Baraza la Waislamu Tanzania, Sheikh Othman Issa amesema kuna uharibifu mkubwa wa mazingira ambapo kiasi cha tani milioni nane za plastiki zinatupwa baharini hali inayohatarisha ustawi wa viumbe.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba amesema Serikali iatayafanyia kazi mapendekezo mbalimbali ya utunzaji wa mazingira yaliyaowasilishwa na viongozi.

Katika hatua nyingine, amesema Serikali iko tayari kufanya kazi na vyombo vya habari vinavyomilikiwa na taasisi za dini katika masuala ya utafiti wa mbinu za utunzaji mazingira.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.