Waziri wa
Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ( katika kati)
akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na
Mazingira ya Norway, Mhe. Ola Elvestuen (kushoto) wakiwa na Balozi wa
Norway Nchini Tanzania, Bi. Hanne-Marie Kaarstad, (kulia) Kabla ya
Mkutano wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway
uliofanyika Mpingo House jijini Dar es Salaam.
Waziri
waWizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza na
wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway
kwenye Mkutano uliofanyika Mpingo House jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway, Mhe. Ola
Elvestuen ( kushoto) akimkabidhi zawadi Waziri wa Wizara ya Maliasili
na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu baada ya Mkutano wa Kamati ya Bunge ya
Maliasili, Ardhi na Mazingira ya Norway uliofanyika Mpingo House jijini
Dar es Salaam.
Comments