Skip to main content

BONDIA NYOTA KATIKA MASUMBIWI AKATALIWA KUINGIA AUSTRALIA


Mayweather akifungwa pingu kwenda jela kutumikia kifungo cha miezi mitatu jela mwaka 2012
Mayweather akifungwa pingu kwenda jela kutumikia kifungo cha miezi mitatu mwaka 2012
Floyd Mayweather Jr, 37, hataruhusiwa kuingia Australia baada ya Idara ya Uhamiaji kukataa kumpa visa siku ya Jumatano.
Mayweather akiwa na mwanasheria wake Karen  Winckler pamoja na rapa 50 Cent Juuni 2012
Mayweather akiwa na mwanasheria wake Karen Winckler pamoja na rapa 50 Cent Juni 2012
Anaweza kuitumia kushinda, kiukweli, hajawahi kupigwa ulingoni, hatahivyo, pambano lake kubwa limetokea nje ya mnara wa hempen, bondia huyo amekataliwa kuingia nchini humo kutokana na tabia mbovu za nyuma.
Tangu atoke jela mwaka 2012 Mayweather ameendeleza rekodi yake ya kutokupigwa mapambano yote 47
Tangu atoke jela Mayweather ameendeleza rekodi yake ya kutokupigwa mapambano yote 47
Taarifa ilitolewa kwenye mtandao wa chang.org kumzuia kuingia nchini humo kwa sababu inaeleza kuwa, ‘alimfanyia vitendo vibaya mwenzie mbele ya watoto wake na kwenda jela baada ya kuwanyanyasa wanawake watano tofauti.
Mayweather alianza kupigana mwaka 1996, na ameshinda mikanda mitano ya uzito tofauti
Mayweather alianza kupigana mwaka 1996, na ameshinda mikanda mitano ya uzito tofauti
Kufungiwa kwake kulithibitishwa na Waziri wa Uhamiaji Msaidizi, Seneta Michaelia Cash.
Mayweather alitarajia kufanya mkutano na waandishi wa habari nchini Australia ambapo angeeleza msimamo wake wa kupambana na Manny Pacquiao lakini amekataliwa kuingia
Mayweather alitarajia kufanya mkutano na waandishi wa habari nchini Australia ambapo angeeleza msimamo wake wa kupambana na Manny Pacquiao lakini amekataliwa kuingia
“Visa haiwezi kutolewa kwa kesi hii,” alisema

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...