National
FootBall League ya Marekani yenye mkataba na kampuni ya eletronics ya
Bose imepiga marufuku wachzaji wake kuvaa bidha za Beats by Dre wakiwa
hadharani.
Tangazo lililotolewa mwezi wa nane limesema NFL Itahudumiwa
na kampuni ya Bose kwa mahitaji yake ya headset na kupiga marufuku
uvaaji wa Beats By Dre wakiwa hadharani au kwenye mahojiano ya michezo
wakati league inaendelea. Wachezaji watakao kiuka watatozwa fine na
league.
Beats By Dre walijibu kizuizi hicho kwa kusema Bidha zao
zimekuwa muhimu kwa watu kama kifaa kingine cha michezo,Beats zimevaliwa
na wachezaji wa michezo tofauti mara nyingi kabla ya kuingia uwanjani,
imekuwa kama tamaduni yao sasa.
Hii ni mara ya pili Beats inawekewa vizuizi kwenye michezo fulani,
Mwaka jana ilitokea wakati sony ni wadhamini wakombe la dunia, wachezaji
walipigwamarufuku kutumia beats by dre.
Comments