Mwanamuziki D’Banj kutoka Nigeria amekula shavu la kuwa balozi wa
Apple/Beats By Dre wa Afrika. Apple/Beats By Dre imetangaza kuwa
imesaini mkataba
na mwanamuziki huyo kuwa balozi wa brand yao. Kupitia Instagram D’Banj pia aliandika: Licha ya kuwa balozi D’Banj pia atapata earphones zake (customized earphones) zitakazozinduliwa December, 2014.

Comments