Rais
Yoweri Museveni wa Uganda amegharamia safari ya timu ya soka ya taifa
Uganda Cranes kwenda Togo, kucheza mechi ya marudiano siku ya jumatano
ya kufuzu kucheza fainali ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2015 kundi
E.
Msemaji
wa Shirikisho la soka nchini Uganda Ahamed Hussen amefahamisha BBC
kwamba Rais Museveni amewapatia dolla laki moja na efu arobuni
kusafirisha timu ya Uganda Cranes kwenda Togo kwa mechi ya Jumatano.
Hicho ni kikosi cha Uganda Cranes kilichovalia jezi nyekundu yaani yenye kuishia 42 na yenye 40 ni Togo.
Katika
mechi ya jumasi Uganda Cranes ilinyamazishwa na Togo kwa bao 1 kwqa
nunge hivyo Uganda wanahitaji ushindi mechi ya Jumatano kuongeza
matumaini ya nafasi ya kushiriki fainali ya kombe la Afrika mwaka 2015
nchini Morocco.
Katika kundi hilo E Ghana ndiyo wanaongoza na alama 5 wakifatiwa na Uganda alama 4, Ginea alama 4 na Togo alama 3.BBC
Comments