KATIKA shughuli mbalimbali wasanii upendeza sana katika uvaaji wa
nguo zao na kuna wakati unaweza kusema kuwa wasanii wakike kama upanga
kuwa leo tutoke vipi katika mtoko huo, hivi karibuni ni kiwa katika
ukumbi wa Mlimani city niliona warembo kutoka Bongo movie wakiwa wamevaa
nguo zenye mpasuo wenye muwashawasha na vipensi kwa jamu.
.
.
.
Pia kuna kitu nilikuona katika uzinduzi wa filamu ya Foolish age ni
mipasuo mingi kuwa upande wa kushoto kama si kumuona mhusika wa shughuli
hiyo madam Elizabeth Michael aka Hot Lulu nilipomuona akiwa na mpasuo
upande wa kulia ndio nikajua kuwa kumbe mipasuo inaweza kuwekwa sehemu
yoyote siyo upande mmoja tu.
FC bwana nao kwa upekupeku haya ndio maisha yetu kujua mastaa wetu
wanapigaje pamba na kuonekana wakiwa smar t na kuendelea kuigwa kuvaa
nayo shughuli!Pia kuna wale waliotokelezea kwa kutinga Pensi Lakini hawa
mastaa wa Bongo movie hawakosei bwana haya ndio maisha yetu saaafiii
Saaana!
Comments