Skip to main content

FUSE ODG KUSABABISHA DAR LEO


Mkali wa Azonto na antena 'Nana Richard Abiona' aka Fuse ODG amewasili leo 6 Sept majira ya saa tisa usiku katika uwanja wa ndege wa kimataifa Mwl.J.K Nyerere.


Fuse ODG anatarajia kutoa burudani kali siku ya tarehe 7 Sept leo katika viwanja vya Ustawi wa Jamii






Comments