Skip to main content

Serikali yakusudia kuanzisha Mtihani wa Taifa wa Darasa la Pili



mulugo_31119.jpg
Mtihani mpya wa Taifa utaanzishwa kwa wanafunzi wa darasa la pili nchi nzima, ili kuchuja watakaoshindwa kusoma, kuandika na kuhesabu.
Akifafanua uamuzi wa kuanzishwa mtihani wa Taifa wa darasa la pili, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo alisema mtihani huo ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa matokeo makubwa sasa katika sekta ya elimu.

Comments