Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck Sadiki (kulia) akikabidhiwa
Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Mkoa wa Pwani na Skauti Mkuu wa Chama cha
Skauti Tanzania Hajati Mwantum Mahiza (kushoto) katika uwanja wa ndege
wa Terminal one (1) leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum Mtondoo(kulia) akimkabidhi Mwenge wa
Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Pwani na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania
Hajati Mwantum Mahiza (kushoto) kwa ajili ya kuukabidhi Mwenge kwa
Mkoa wa Dar es Salaam, katika makabidhiano yaliyofanyika uwanja wa ndege
wa Terminal one (1) leo Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Kutoka
Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo(kushoto)
akipokea Mwenge wa uhuru kutoka kwa Mmoja wa wakimbiza mwenge kitaifa,
katika uwanja wa ndege wa Terminal one (1) leo Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi pamoja na Hassan Silayo-MAELEZO).
Kwa taswira zaidi tembelea MOBLOG
Comments