Skip to main content

Tatizo ni bandari au kagame?



bandari 5193c
KITENDO cha Rwanda na Uganda kutangaza kujitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia leo, kimeibua hisia na maoni tofauti kutoka kwa wachambuzi mbalimbali, ambao sasa wameanza kuhoji jambo hilo kwa namna ya kuangalia hali halisi, ukiachilia mbali msuguano wa kidiplomasia unaojitokeza baina ya Tanzania na Rwanda.

Comments