Mke wa
Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA)
Mama Salma Kikwete akitoa risala fupi wakati wa halfa ya kukabidhi gari
la kubebea wagonjwa lililotolewa na Taasisi hiyo kwa hospitali ya
Sokoine Mkoa wa Lindi,kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Ludovick Mwananzila na
kulia ni Kaimu katibu tawala wa hospitali hiyo Tawani Selemani.
Mke wa
Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA)
Mama Salma Kikwete akimuonyesha gari la kubebea wagonjwa Mkuu wa Mkoa wa
lindi Ludovick Mwananzila lililotolewa na Taasisi hiyo wakati wa
alipolikabidhi kwenye hospitali ya Sokoine mkoani hapo.
Comments