Mratibu wa Tamasha la Dar Filamu
Festival bw.Starford Kihore (katikati) akizungumza na waandishi wa
habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu Tamasha hilo litakalofanyika
Septemba 24 hadi 26 mwaka huu katika Viwanja vya Kijitonyama
Posta,Kushoto ni muugizaji wa filamu za kibongo Elizabeth Micheal(Lulu)
na kulia ni Mratibu wa Kampuni ya Haak Neel Prodution Geofry Katula.
Muugizaji wa Filamu za kibongo
Elizabeth Micheal (Lulu) kushoto akifafanua jambo kwa waandishi wa
habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Tamasha la Dar
Filamu Festival litakalofanyika Septemba 24 hadi 26 mwaka huu Viwanja
vya Kijitonyama Posta,Kulia ni Mratibu wa Tamasha hilo Starford Kihore.
(Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)
Comments